Jumanne, 15 Novemba 2016

WAZIRI PROF. MBARAWA AFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE KUTOKA FINLAND

Balozi wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza na ujumbe kutoka Finland kuhusu fursa mbalimbali zilizo kwenye Sekta ya miundombinu ulipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi Dr. Leonard Chamuriho

Waziri wa Biashara za Nje na Maendeleo kutoka Finland, Kai Mykkanen (kulia), akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (katikati), wakati ujumbe huo ulipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Ujumbe kutoka Finland ukimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakati ulipomtembelea ofisini kwake kujadili fursa mbalimbali za Sekta ya Miundombinu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni