Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akimkabidhi vitendea kazi
Mwenyekiti mpya wa bodi ya TRL, Profesa John Kondoro alipozindua bodi hiyo
jijini Dar es Salaam.
|
Wafanyakazi wa kampuni
ya Reli Tanzania (TRL), wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani), alipoongea nao
mchana jijiini Dar es Salaam.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni