Balozi wa Uturuki
nchini, Bi Yasemin Eralp, akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar
es salaam.
|
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akizungumza na Balozi wa
Ujerumani nchini Bi Yasemin Eralp (katikati), alipomtembelea ofisini kwake
jijini Dar es salaam.
|
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akiongea na ujumbe kutoka
Ubelgiji kuhusu fursa za uwekezaji katika sekta ya miundombinu jijini Dar
es salaam.
|
Mkurugenzi Msaidizi wa
Tathmini na Ufuatiliaji kutoka Sekta ya Uchukuzi, Aunyisa Meena, akifafanua
jambo kwa Ujumbe wa Ubelgiji kuhusu fursa za uwekezaji katika sekta ya
miundombinu.
|
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akisisitiza jambo kwa Ujumbe wa
Ubelgiji na watendaji wa Wizara yake kuhusu fursa za uwekezaji katika sekta ya
miundombinu.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni