Mkurugenzi
wa Mradi wa ujenzi wa Jengo la Tatu la
Abiria (TB III), Eng. Mohamedi Milanga akifafanua jambo kwa ujumbe maalum wa
wadau wa ujenzi walipokagua hatua za ujenzi wa jengo hilo.
|
Muendelezo
wa jengo la tatu la abiria sehemu ya pili katika hatua za ujenzi. Jengo hilo
litakapokamilika litakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria 2,800 kwa wakati mmoja.
|
Muonekano
wa eneo zitakapokuwepo huduma za kibenki na Idara ya Uhamiaji katika Jengo la tatu
la Abiria (TB III).
|
Muonekano
wa sehemu ya mbele ya wa Jengo la Tatu la Abiria (TB III) katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (JNIA). Jengo hilo linatarajiwa
kukamilika mwishoni mwa mwaka ujao.
|
Muonekano wa juu wa Jengo la Tatu la Abiria (TB III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (JNIA). |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni