Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi,
Eng. John Kijazi (kushoto) akitiliana saini ya makabidhiano ya ndege mbili mpya
za Serikali aina ya Bombardier Dash-8 Q400 zitakazoendeshwa na Shirika la Ndege
Tanzania (ATCL) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
(Sekta ya Uchukuzi), Eng. Dkt. Leonard Chamuriho.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni