Alhamisi, 22 Septemba 2016

WADAU WA SEKTA YA MAWASILIANO KUJADILI MKAKATI WA SERA YA TEHAMA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta  ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora akizungumza  wakati  akifunga mkutano wa wadau  wa sekta ya mawasiliano wa kujadili mkakati wa utekelezaji wa  Sera mpya ya Taifa ya TEHAMA ya mwaka 2016 
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  upande wa sekta ya Mawasiliano Mhandisi Clarence Ichwekeleza akitoa mada wakati wa Mkutano  wa   wadau  wa sekta ya mawasiliano wa kujadili  mkakati wa utekelezaji wa  Sera mpya ya Taifa ya TEHAMA ya mwaka 2016 

Baadhi ya wadau wa sekta ya mawasiliano wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora (hayupo pichani)  akizungumza wakati akifunga  mkutano wa wadau  wa kujadili mkakati wa utekelezaji wa  Sera mpya ya Taifa ya TEHAMA ya mwaka 2016


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni