Jumatatu, 19 Septemba 2016

USHIRIKIANO KATIKA KUKUZA ELIMU YA TEHAMA ILI KUINUA UCHUMI KWENYE SEKTA NYINGINE

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora (kushoto) akizungumza na mshauri wa kiufundi wa Elimu ya ufundi na mafunzo wa shirika la maendeleo la Ujerumani hapa nchini  (GIZ) Dkt. Karola Hahn kuhusu ushirikiano wao katika kukuza Elimu ya TEHAMA ili  kurahisisha sekta nyingine  kuchangia pato la Taifa

Mwambata wa kisiasa kutoka Ubalozi wa Ujerumani hapa nchini Bi.Lena Thiede (kushoto) akizungumza wakati wa kikao cha kujadili ushirikiano wa kukuza Elimu ya TEHAMA hapa nchini ili  kurahisisha sekta nyingine  kuchangia  kwa kiwango cha juu pato la Taifa.
  

Picha ya pamoja baada ya kumaliza kikao kuhusu ushirikiano wa kukuza  Elimu ya TEHAMA  ili  kurahisisha sekta nyingine  kuchangia kwa kiwango cha juu pato la Taifa. 

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora akizungumza na Ujumbe kutoka Ujerumani (hawapo pichani) kuhusu  ushirikiano katika kukuza Elimu ya TEHAMA ili  kurahisishia sekta nyingine  kuchangia   kwa kiwango cha juu pato la Taifa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni