Alhamisi, 27 Oktoba 2016

PROF. MBARAWA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA UNITED ARAB EMIRATES

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akizungumza na ujumbe kutoka United Arab Emirates pamoja na Watendaji wa Wizara hiyo katika kikao cha kujadili fursa mbalimbali zakuwekeza katika Sekta ya Miundombinu nchini, kilichofanyika wizarani hapo jijini Dar es salaam.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (kulia), akimsikiliza mmoja kati ya wajumbe waliotembelea Wizarani hapo kutoka United Arab Emirates kujadili fursa mbalimbali zakuwekeza katika Sekta ya Miundombinu nchini.

Ujumbe kutoka United Arab Emirates ukimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani), katika kikao kilichofanyika Wizarani hapo kujadili fursa mbalimbali zakuwekeza katika Sekta ya Miundombinu nchini.

Baadhi ya Watendaji kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani), katika kikao cha pamoja na ujumbe kutoka United Arab Emirates kujadili fursa mbalimbali zakuwekeza katika Sekta ya Miundombinu nchini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni