BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UCHUKUZI LAKUTANA KUPATA TAARIFA YAUTEKELEZAJI WABAJETI 2016/17 NA KUPITISHA MPANGO WA BAJETI 2017/18
Mwenyekiti na Katibu
Mkuu wa Sektaya Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho (kushoto)akiongoza kikao cha
Baraza la Wafanyakazi wa sektahiyo, kilichofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka zaTaifa,
Mkoani Dodoma leo.
Mwenyekiti na Katibu
Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho (wa pili kulia) na wajumbe wa Baraza
la Wafanyakazi wa sekta hiyo wakiimba wimbo wa ‘Solidarity’ kabla ya kuanza kikao cha taarifa ya utekelezaji
wa bajeti ya mwaka 2016/17 na mpango wa bajeti kwa mwaka 2017/18,kilichofanyika katikaUkumbi
wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka zaTaifa, Mkoani Dodoma leo.
Sehemu ya wajumbe wa Baraza
la Wafanyakazi wa sektaya Uchukuzi wakisikiliza taarifa ya utekelezaji wa
bajeti ya mwaka 2016/17 na mpango wa bajeti kwa mwaka 2017/18, kwenye Baraza la
Wafanyakazi lililofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa,
Mkoani Dodoma leo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni